Mwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big Brother Africa katika msimu huu ulioitwa Hotshot, Idris Sultan ameibuka mshindi katika shindano hilo na kuleta furaha kubwa kwa wa Tanzania.
Idris ambaye amekaa katika jumba hilo kwa siku 63 amejishindia kiasi cha fedha taslimu dola za kimarekani $300,000 ambacho ni sawa na Milioni 514 za Kitanzania.
Fahamu ushindi huo wa Idris umeweka historia nyingine nchini
Tanzania ikiwa ni awamu ya pili Tanzania kuchukua ushindi wa shindano
la Big Brother, ambapo mwaka 2011 Richard Dyle aliweza kushinda pia katika msimu wa Big
Brother Africa 2 baada ya kuka ndani ya nyumba ya BBA
kwa siku 98 ambapo alichukua kiasi cha dola laki moja za Kimarekani.
JIKUMBUSHE WASIFU WA IDRIS SULTAN.
Idris is a photographer from Arusha, Tanzania. He
enjoys reading anything by Dan Brown. His musical
taste is quite varied, ranging from Chris Brown,
Michael Jackson and Usher to Ed Sheeran, Sam
Smith, Lana Del Rey and Nina Simone. Idris says he
doesn’t have one specific role model, choosing
instead to take the best from every successful
person he meets. That said, his mother has
influenced his life the most. He is proudest of the
respect he’s earned by showcasing his skill and
creativity in photography. He says he entered Big
Brother Hotshots because he wants to inspire
people and make a name for himself in the process.
He feels “thrilled, accomplished and totally special”
that the continent will be watching him on the show
and describes himself as “smart, flirty and
creative”
No comments: