SHUKRANI ZA DIAMOND PLATNUMZ KWA MASHABIKI, WADAU, NA MEDIA ZOTE BAADA YA KUTIMIZA WATAZAMAJI MILLION 1 WA VIDEO YAKE NTAMPATA WAPI..YOUTUBE.
Baada ya Video ya Diamond Platnumz kufikisha
watazamaji milioni 1 Platnumz kupitia ukurasa wake
wa Instagram amepost picha inayomuonyesha
video queen wa Video ya Ntampata_Wapi , Melissa
akiwa kwenye moja ya scene ya video hiyo huku caption yake akiwa ameandika hivi:
"Shukran sana kwa Media zote, wadau na Mashabiki
kwa support na nguvu mnayo zidi kunipa...1 million +
vews ndani ya wiki mbili...Nawashukuru sana!..
Shukrani nyingi pia zikufikie bwana @I_am_godfather
kwa chupa hili"
Fahamu Video ya 'Ntampata Wapi' iliwekwa Youtube
November 20 2014 ikiwa ni wiki mbili sasa na
ikiashiria upendo wa kweli na ushabiki kwa msanii
wetu kutoka Tanzania Diamond Platnumz ambaye
kwa sasa yupo Nominated kwenye tuzo za
The_Headies Nchini Nigeria kupitia kipengele cha
Best African Artiste .
No comments: