Baada ya Tyga kusikika akisema kuwa anashikiliwa mateka na uongozi wa Young-Money na kwamba hawataki kutoa album yake sasa jipya laibuka kwa Lil-Wayne ambaye ni mtoto wa kuhasiwa wa C.E.O Wa Cash Money Birdman.
Taarifa kutoka vyombo mbali mbali zinadai kuwa Lil Wayne amelala mika kitendo cha baba yake huyo mlezi “Bird-Man Baby" cha kutotaka kutoa album yake mpya ya The Carter V ambapo kwenye
twit zake amedai hataki kujihusisha na watu kama hao.
#Fahamu malalamiko aliyo toa Lil-Wayne ni kama ya Tyga kufuatia kazi zao kutotolewa kwa muda muafaka na nyingine kutotolewa kabisa!.
Hizi ni baadhi ya twits za Lil Wayne kutoka Twitter.
LIL-WAYNE NAYE AWA MATEKA KAMA TYGA KATIKA KUNDI LA YOUNG-MONEY
Reviewed by Unknown
on
00:09
Rating:
pole more money more ploblems
ReplyDelete