Huenda kwa mtindo huu mwaka 2014 ukawa ni
mwaka wenye mafanikio kwa watu wengi
hususani kwa vitu ambavyo vimekuwa
vikionekana mwishoni mwa mwaka huu ambapo
tarehe za mwanzoni tuliweza kuona zawadi ya
gari aina ya Range_Rover_Sport aliyo jinunulia
Davido msanii kutoka nchini Nigeria, ambapo pia
Dimpoz akiwa amebakisha siku 2 kusherehekea
sikukuu ya Christmas aliweza kushare nasi picha
ya zawadi yake ya Christmas aliyo jinunulia
mwenyewe kutokana na mafanikio aliyoyapata
mwaka huu.
Ommy Dimpoz amejinunulia gari aina ya Toyota
Prado mpya na kushare picha za zawadi yake
hiyo kupitia Instagram na kuandika maneno haya:
“Christmas present for myself. Thanks Allaah for
everything tukutane January Inshaallaah…for big
surprise,”
HII NDIO ZAWADI ALIYOJINUNULIA OMMY DIMPOZ KWAAJILI YA CHRISTMAS!!.
Reviewed by Unknown
on
23:35
Rating:
No comments: