Recent Posts

CHEZEA DAVIDO WEWE AJINUNULIA ZAWADI YA CHRISTMAS MWENYEWE

Kutokana na lawama zilizopo kwa watu wengi hasa kizazi cha sasa juu ya mapokeo ya zawadi pindi mtu anapoletewa au kununuliwa zawadi halafu mwisho wa siku anaikataa au kutoipokea kabisa kwa madai ni mbaya au siyo aliyo itarajia na kusahau msemo unaosema kuwaZAWADI NI ZAWADI basi nahisi kutokana na kuogopa jambo la kumuumiza mtu kwa kukataa zawadi yake huenda ndio ikawa chanzo cha Davido msanii maarufu kutoka Nigeria kuamua kujinunulia zawadi ya Christmass.

Davido amepost picha
kwenye ukurasa wake wa Instagram
akionyesha zawadi ambayo amejinunulia
kwa ajili ya sikukuu ya Christmas ya mwaka huu na
kuwashukuru mashabiki wake kwa ushirikiano waliompatia kwa kipindi chote cha mwaka huu kuelekea mwishoni.

Davido amejiwezesha kwa kujinunulia gari aina ya Range Rover kama Zawadi yake ya Christmas mwaka huu huku caption ya picha hiyo akiwa ameandika hivi:
“EARLY CHRISTMAS PRESENT FOR
MYSELF!! BEEN A GREAT YEAR THANKS FOR
ALL THE SUPPORT WORLDWIDE! I
WOULDNT HAVE GONE THIS FAR WITHOUT
U GUYS!!

CHEZEA DAVIDO WEWE AJINUNULIA ZAWADI YA CHRISTMAS MWENYEWE CHEZEA DAVIDO WEWE AJINUNULIA ZAWADI YA CHRISTMAS MWENYEWE Reviewed by Unknown on 12:01 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.