Diva wa Jay-Z, Beyoncé na rappa wa kike kutoka kundi la Young Money Nicki Minaj wameamkia sehemu nzuri baada ya jarida la TIME lililotoka wiki hii kuirodhesha nyimbo yao walioshirikiana ya "Flawless-remix" kama nyimbo bora ya mwaka 2014.
Jarida la TIME liliandika kuwa mwaka huu umekuwa na takwimu kubwa ya colabo za marappa wa kike licha ya kuwa wimbo wa "Flawless remix" haujaweza kufikia chati kama wimbo wa "Fancy" wa Iggy Azalea lakini kufuatia kuongoza kupigwa na vituo vikubwa vya redio mbali mbali duniani imepelekea Jarida hilo kuiona kama nyimbo bora ya mwaka huu 2014.
Fahamu Wimbo huo wa 'Flawless remix' upo kwenye album
ya Beyonce iliyouza kopi zaidi ya milioni moja
dunia licha yakuwa haujawahi kushika namba moja kwenye
chati yeyote kubwa duniani zaidi ya kufanya vizuri kwenye radio.
Kufuatia Jarida hilo kuandika nyimbo Bora, Mbaya, na Albamu bora za mwaka huu lakini sidhani kama Fergie wa Black Eyed Pears na Iggy Azalea watafurahi kufuatia wawili hao nyimbo zao kuwekwa katika nyimbo mbaya za mwaka huu: Fergie-L.A Love na Iggy Azalea-Black Widow.
HII NDIO ORODHA YA JARIDA LA TIME YA NYIMBO NZURI, MBAYA NA, ALBAMU KALI 2014.
Top 10 Best Songs of 2014.
1. “Flawless Remix” – Beyoncé feat. Nicki
Minaj
2. “Blank Space” – Taylor Swift
3. “Move That Dope” – Future feat. Pharrell
Williams, Pusha T, and Casino
4. “Inside Out” – Spoon
5. “2 On” – Tinashe feat. ScHoolboy Q
6. “Red Eyes” – The War on Drugs
7. “Blockbuster Night Part 1″ – Run the Jewels
8. “In the House of Yes” – Mr Twin Sister
9. “Talking Backwards” – Real Estate
10. “Chandelier” – Sia
Top 10 Worst Songs of 2014.
1. “Rude” – MAGIC!
2. “Literally, I Can’t” – Redfoo, Lil Jon, and
Enertia McFly
3. “Masterpiece” – Jessie J
4. “Sun Daze” – Florida Georgia Line
5. “All About That Bass” – Meghan Trainor
6. “Wiggle” – Jason Derulo feat. Snoop Dogg
7. “Summer” – Calvin Harris
8. “Black Widow” – Iggy Azalea feat. Rita Ora
9. “Brooklyn Girls” – Catey Shaw
10. “L.A.LOVE (la la)” – Fergie.
Top 10 Best Albums of 2014.
1. LP1 – FKA twigs
2. St. Vincent – St. Vincent
3. This Is All Yours – Alt-J
4. 1989 – Taylor Swift
5. Too Bright – Perfume Genius
6. Ultraviolence – Lana Del Rey
7. Transgender Dysphoria Blues – Against Me!
8. The Voyager – Jenny Lewis
9. Ryans Adams – Ryans Adams
10. Broke With Expensive Taste – Azealia Banks
No comments: