Licha ya kukimbizwa na rungu pia na kuvunjiwa vioo vya gari lake na Nick Minaj, Saferee Samuel ameripotiwa kutaka kujiua kufuatia kuachwa na Nicky hukusababu ikidaiwa kuwa alikuwa na Mwanamke wa pembeni ambapo baada ya Minaj kugundua aliamua kumuacha kwa kuwa sio muaminifu.
Taarifa kutoka MTV_NEWS zinaeleza kuwa kitendo hicho cha Safaree ambaye ni Co-Executive
Producer naCoordinator wa A&R ya Pink Friday amekuwa akiwaeleza marafiki zake kutaka kujiua kutokana na kukosa penzi la rappa wa Young Money, Nick Minaj ambapo tangia wameachana rasmi mwezi October amekuwa ni mtu wa kujifungia kutoka na na aibu ya kuachwa na star huyo wa single ya Pink print.
Taarifa zaidi kutoka kwa marafiki wa Safaree wamedai kuwa kitendo cha kuvunjika kwa uhusiano huo ambao unatakribani miaka 12 kime daiwa kumumiza na
na kudai mara kwa mara anaweza kuondoa maisha yake kwa kutaka kujiua.
Fahamu kuwa Nick Minaj baada ya kumkamata Safaree na mwanamke mwingine moja kwa moja aliacha na fasi wazi ya moyo wake na kuangukia kwa rappa wa May Bach Music, Meek Mill ambaye pia amedaiwa kuwa kama tusi kwa Safaree kufuatia na yeye kumuandama kwa madai kitendo cha kutokuwa mwaminifu kwa Nicky ndio kosa kubwa lililo muharibia penzi lake.
Hivi karibuni baada ya kuripotiwa kuachana kwa Safaree na Nicky, shabiki mmoja ambaye ni mfuasi wa Safaree katika mtandao wa Twitter aliweza kumuliza endapo kama anaweza kutazama Interviews anazo fanya Nick Minaj, ambapo yeye alijibu kwa kuandika kuwa 'anazisikia tu lakini hawezi kutokana na kuwa inamuumiza sana.
No comments: