Wakati mtu anapo post picha katika m tandao wa kijamii iwe Facebook, Twitter ama Instagram na
kujiona yuko sawa na kujipa kichwa kuwa watu wataikubali sana na kutoa maoni mengi wakati
mwingine huwa tunakosea.
Licha ya uzuri alionao Mama mzazi wa North West na Mke wa Kanye West, pamoja na shughuli zake za
urembo, mashabiki wengi wameona kitendo chake cha kupiga picha na kuipost Instagram huku ikionyesha nguo zimezagaa na yeye kudai kuwa
anapata tabu kuchahua kufuatia Caption aliyo iweka wengi wamedai ni uchafu na huenda akawa ni staa
asiye ijali nyumba yake kutokana na ubize wa shughuli zake za urembo na kujipenda kimwili pasipo
hata kujali mazingira.
Hiyo inakujaje ni pale yeye alipo jionyesha kuwa na nguo nyingi ilihali anasahau kuwa akifikiriacho mtu
ndicho kimtokacho au kukitenda na huenda kwa picha hii sio utajili wa nguo bali pia ni umaskini wa usafi na utunzaji kwani siku zote utaratibu wa kupanga vitu humfanya mtu kuonekana msafi lakini kwa hii picha Kim Kardashian West umebugi kwani
hata maoni aliyopokea katika picha mashabiki wamedai mchafu! kutokana na muonekano wa hovyo
katika chumba chake huku baadhi wakidai anamuharibu mtoto wake kwani naye atajifunza
kutupa tupa nguo ovyo kufuatia na yeye kuonekana katika picha hiyo.
Onyo: Dada zetu mnaoiga mambo ya nje msiige hii kwani Wanaume wengi wa Bongo wanapenda Msichana mwenye mpangilio sasa we kaige upige picha halafu share kama alivyo fanya Kim uone maoni yake.
(Ni mtazamo tu)
LIKE_and_SHARE +COMMENT
By_Mr_ENTERTAINER_of_KAY_STALLION.
Duuh kimtindo sure!
ReplyDelete