Recent Posts

LIVE AND LET LOVE: YA CHRIS BROWN NA KARRUCHE INAKOELEKEA SIKO!!!

Licha ya kuonekana kuachana kwao kumekuwa kama njia ya kujitafutia kick katika vyombo vya habari lakini awamu hii huenda hali ikawa sio shwari kufuatia habari za kuachana
kwa Chris Brown na Karrueche, kuonekana kutimia weekend iliyoisha.

Ilikuwa kama utani kwa Chris na Karruche kupigana majungu kwa kutumia mitandao ya kijamii hususani Instagram na Twitter kitendo ambacho Mapaparazi wengi wa Marekani waliandika stori kuwa wanapima mzani wa namna stori ziyakavyo zagaa kuachana kwao lakini cha kushangaza baadae vyombo vya habari vingi vilidai kuwa vitendo vile vilikuwa ni njia ya kila mmoja akumtuhumu mwenzake kwamba  ndiyo
sababu ya kuvunjika kwa Mahusiano yao.

Imekuwa ni kama mchezo wa kuigiza kwa wawili
hao kuachana na kurudiana, lakini awamu hii moja kwa moja kupitia Instagram, Chris Brown ameweka picha inayo muonyesha akiwa amesimama ukutani huku pembeni katika ukuta kuna sura ya mwanamke imechorwa na aliandika ujumbe wa
uliotambuliwa na mashabiki kama njia ya kumuomba radhi kwa Karrueche huku akisema hajali
watu wanamchukuliaje.
” Being young and
dumb is one of my strong suits and emotional at
best. I love hard and react impulsively when I’m
hurt at times. I don’t think social media is a place
to air out or hash out personal problems and a
nigga feel hella WACK for doing it. So I AM
APOLOGIZING I live in a glass house and the
same sh*t that makes me great also is my curse.
Everybody know I love that girl. I don’t care how
my image my look to the public because I’m still
gonna be the best at what I do. I just want baby girl
to know I apologize!

Fahamu kuwa Chris Brown alitangaza kuachana na Karruche baada ya kuhisi anatoka na Drake na kudai kumsaidia mambo mengi ila wema umemshinda.

LIVE AND LET LOVE: YA CHRIS BROWN NA KARRUCHE INAKOELEKEA SIKO!!! LIVE AND LET LOVE: YA CHRIS BROWN NA KARRUCHE INAKOELEKEA SIKO!!! Reviewed by Unknown on 10:19 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.