Recent Posts

HI NDIO MIPANGO YA JA RULE 2015

Baada ya kutoka jela na kupokelewa na single inayotamba kwa jina lake ya 'Ja Rule' iliyotungwa na  Asap Ferg akishirikiana na Big Sean, Rappa Jeffrey Atkins 'Ja Rule' kufuatia kurudi uraiani rasmi ameweka wazi mipango yake kamili juu ya kazi yake ya muziki kwa mwaka 2015.

Ja Rule amefunguka na mpango wa kuachia albamu tatu mpya ambapo amedai kuwa kufuatia kukamilika kwa kazi hizo kilichobaki kwake ni eidha kutoa albamu zote tatu kwa mpigo au kuachia single moja moja katika kila albamu.

Fahamu madai hayo ya Ja Rule kuachia single zake mapema 2015 ni kufuatia kudai kuwa mashabiki wake wame miss kazi zake kwa muda ambapo pia mtandao wa HipHopDX ulipo fanya interview naye ulilipoti kuwa furaha yake kubwa pia imeongezwa na kutungiwa nyimbo na Asap Ferg akishirikiana na Big Sean  ambapo yeye aliweza kutamka maneno haya:
"It’s a hot record, "I applaud Ferg for
putting that together and Big Sean for it putting it
together. You know, it’s Hip Hop. I was very
surprised. I laughed listening to it. I was like, these
dudes are crazy. I said, 'Ferg you a fool for this
one.' But you know, it’s love and it’s good music. It
sounds good and it feels good."

Fahamu pia Ja Rule amedai kuwa mpambanaji katika kupigana na Swala la mauaji ya vijana weusi yanayo fanywa na polisi wengi ambapo yeye aliueleza mtandao wa HipHopDx kuwa:
"We are the new freedom fighters,I’m
very proud of what we are doing out there as far as
getting the awareness out there and doing it very
peacefully. So I think that’s the important part,
getting out there, getting our message across, but
doing it in a way where people are going to respect
the message and not get it tangled up in some of
the less fortunate things that went down. So I think
we’re doing a great job thus far and as long as we
keep pushing forward I think the message will get
heard and I think there will be some change."

HI NDIO MIPANGO YA JA RULE 2015 HI NDIO MIPANGO YA JA RULE 2015 Reviewed by Unknown on 06:36 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.