Recent Posts

LIVERPOOL KUVUNJA REKODI YA USAJIRI YATAKA KUMNG’OA BENZEMA KWA KITITA CHA PAUN MIL. 50

>>Baada ya Majogoo wa Jiji Liverpool kuwa na matokeo mabaya msimu huu, kwa kile kilichodaiwa
kutokuwa na kikosi imara hasa safu yake ya ushambuliaji, timu hiyo imeamua kuvunja benk ili kusajiri wacheza wakubwa ili kuinusuru timu hiyo.

Kocha wa Majogoo hao wa Anflied Brendan Rordgers amejipanga kumsajili mshambuliaji wa Mabingwa wa Ulaya Real Madrid, Mfaransa Karem Benzema kwa
kitita cha paun million 50 ili kuimalisha safu yake ya ushambuliaji.

Pia Rordgers anmuwani Mshambuliaji hatari wa FC
Porto ya Ureno na timu ya Taifa ya Colombia Javie Matinez licha ya kupata upinzani mkbwa kutoka kwa
Tottenham ambao nao wanamuhitaji mchezaji huyo.

Maamuzi hayo yamekuja baada ya washambuliaji wapya walionunuliwa Mario Balottel na Lick Lambert kushindwa kuonyesha kipaji chake cha upachikaji wa mabao na kubaki kama mzigo Anflied huku Daniel Sturrudge akiendelea kukaa nje kutokana na kuwa majeruhi.

LIVERPOOL KUVUNJA REKODI YA USAJIRI YATAKA KUMNG’OA BENZEMA KWA KITITA CHA PAUN MIL. 50 LIVERPOOL KUVUNJA REKODI YA USAJIRI YATAKA
KUMNG’OA BENZEMA KWA KITITA CHA PAUN MIL. 50 Reviewed by Unknown on 01:28 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.