Baada ya kuonekana katika Night club ya Escape iliyopo Ilorin, Nigeria hatimaye Davido na Wiz Kid wapatana rasmi huku kukiwa na ushahiidi wa picha za wawili hao wakicheka, kukumbatiana na kufurahi pamoja ndani ya club hiyo.
Fahamu beef kati ya Davido na Wiz Kid lilidumu kwa takribani miezi kadhaa sasa huku chanzo cha mkwaruzano kati yao kilidaiwa kuwa ni kutambiana kwa wawili hao kuwa nani anaongoza kujaza kumbi wakati anapopiga show, mkwanja mrefu, pamoja na connection ya kufanya kazi na wasanii wakubwa ikiwa ni pamoja na video za gharama.
Licha ya hivyo beef hiyo iliambatana na vijembe vya wazi wazi kupitia mitandao ya kijamii hususani Twitter na Instagram.
Unaambiwa hizi ndio picha za wawili hao wakifurahi pamoja kudhihirisha kuwa The beef is over:
No comments: