Baada ya msanii Diamond Platnumz kuonekana
kumkosea
Davido ikiwa ni baada ya kuchukua tuzo nyingine
Nchini Nigeria katika tuzo za Future_Awards_Africa
zilizo fanyika Lagos, Nigeria usiku ambao Mshiriki
kutoka Tanzania Idris
Sultan kushinda katika shindano la Big Brother Africa
(The_Chase ) ambapo Diamond wakati huo huo
aliweka picha
Instagram ya tuzo hiyo ikiwa na meneja wake
huku maneno aliyo ya weka kupelekea watu kujua
yakuwa alicho kiandika Davido lilikuwa jungu kwa
Watanzania ambapo Diamond aliandika hivi:
"Thanks God we have cheated another one on
The Future Awards Africa in Lagos Nigeria # Same
Day Same Night" huku ikilinganishwa na Tweet ya
Davido ya "N they cheat again lol" na kugeuka njia ya
Davido kupokea matusi na kejeli nzito kutoka kwa
Watanzania na kumbe yeye alikuwa akimaanisha juu
ya tukio la CRIS BROWN NA mpenzi wake
KARUUCHE ambao walidanganya duniani
wameachana na kusameheana hivyo msanii huyo
kutoka Nigeria aliona kama utani na akaona
wame danganya watu tena kwani si mara ya kwanza
kutengana kama wana bifu na kurudiana.
Fahamu pia chanzo kingine kudaiwa kuwa Diamond
na Davido sasa haziivi ni baada ya baadhi ya vyombo
vya habari nchini Uganda kulipoti kuwa Davido
aliyepo nchini humo aliondoka kwenye club ya jijini
Kampala baada ya DJ kucheza wimbo
alioshirikishwa na Diamond, Number One Remix kwa
madai ya kumkata mudi ya starehe.
Rappa kutoka Tanzania Chidi-Benz ameamua
kutafuta suluhisho kwa wawili hao ambapo pasipo
unafiki Chidi ameweka ujumbe ambao ametaka pia
Wananchi na Mashabiki wake wauone kupitia
ukurasa wake wa Facebook huku akimsii Diamond
kuweka usawa kati yake na Davido ambapo ujumbe
huo alioandika Chidi Benz ni huu hapa:
"Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu
Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido
sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na
isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha
zimechanganyana plus wajuaji wengi kazi yao
chumvi tu hawajui haswa matatizo yanatuharibu vipi
binafsi..msishadadie tu ilimradi.eiza kuna projekt!
Ye akijaa kichwa afatishe watu na watu hao hao
ndo husema mavi yaale siku akijinyea atakua
anakosea,ikibidi anamwambia timba tandale
tuuchune vijiti nini plus gambe na wana au yeye
anatimba kule mapicha nini hlf zile Africa tuko
pamoja za kumwaga, yaishe asiyakuuuze.bado
anahitaji kwenda na ashinde tena.
Kabisa fundi..watu wanatengeneza story wanahisi
wataonekana Nigeria na dogo atskua anaenda na
kina tale tu na sijui nani,watu wanaweza panga
story ya mapanga,then wot?kwani yeye Diamond
hawezi kusema naomba yaishe jamani na hakuna
baya hivyo.ajitengenezee basi kama
anavyotengeneza siku zoote."
No comments: