Recent Posts

TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA WEMA SEPETU AKITOKEA GHANA.

Staa wa Bongo movie Nchini Wema Isaac Sepetu amerejea nchini
akitokea Ghana ambako alikuwa katika project ya utengenezaji wa filamu inayo itwa Day After Death aliyo igiza na staa wa filamu wa Nchi hiyo Van Vicker.

Fahamu Wema Sepetu na Van Vicker wameigiza kama wapenzi katika filamu hiyo ambapo pia wamekuwa wakishare nasi picha za kipindi waki Shoot filamu hiyo.

Tazama hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Wema wakati amerejea Nchini.

TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA WEMA SEPETU AKITOKEA GHANA. TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA WEMA SEPETU AKITOKEA GHANA. Reviewed by Unknown on 23:19 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.