>>Droo ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Hatua ya 16 bora imepangwa hivi punde na shirikisho la soka barani ulaya UEFA.
Ratiba iko kama ifuatavyo:-
PSG vs Chelsea
Man City vs FC Barcelona
Bayer Liverkusen vs Atletic Madrid
Juventus vs Borusia Dotmund
Schalke 04 vs Real Madrid
Shakta Donestk vs Bayer Munich
Arsenal vs Monaco
FC Basel vs FC Porto
Michezo hiyo ya hatua ya 16 bora itafanyika mwezi
RATIBA YA HATUA 16 BORA UEFA NI HATARI MAN CITY MDOMONI MWA BARCELONA, PSG NA CHELSEA
Reviewed by Unknown
on
03:53
Rating:
No comments: