Recent Posts

WAKATI WENGINE WAKIZIKWA NA,MAJENEZA HUYU AZIKWA NA GARI: HUMMER SUV JEEP! ONA PICHA.

Katika tukio lililo sambaa mitandaoni kuanzia tarehe 2 ya mwezi huu na kukufikia leo wewe ni baada ya taarifa kutoka nchini Nigeria kutangaza juu ya mtu mmoja ambaye alikuwa tajiri ambaye kwenye mazishi yake alizikwa ndani ya gari.

Unaambiwa kuwa kutokana na utajiri aliokuwanao mtu huyo
Ilibidi kuzikwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer SUV Jeep
nchini Nigeria huku taarifa nyingi za maoni ya watu waliona picha hizi wakisema kuwa taifa la Nigeria lina matajiri limbukeni huku wengine wakidai ni imani za kishirikina tu.

Cheki baadhi ya maoni kutoka blog moja ya Nchini Nigeria.

Zenki Moye Brown December 2, 2014 at
8:52 PM.

how na.??????????? Naija
Reply.

Queen reign December 2, 2014 at 8:52 PM.

It's a movie, an old movie
Reply.

snowflix December 2, 2014 at 8:52 PM.

Really wow so stupid of them to do such
#onelovefromSnow#
Reply.

Anonymous December 2, 2014 at 8:53
PM
Awwwwww.

NINI MAONI YAKO KWA TUKIO HILI?!.

WAKATI WENGINE WAKIZIKWA NA,MAJENEZA HUYU AZIKWA NA GARI: HUMMER SUV JEEP! ONA PICHA. WAKATI WENGINE WAKIZIKWA NA,MAJENEZA HUYU AZIKWA NA GARI: HUMMER SUV JEEP! ONA PICHA. Reviewed by Unknown on 09:41 Rating: 5

1 comment:

Powered by Blogger.